Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Ahlul_Bayt (a.s) - ABNA -, Wizara ya Afya ya Palestina katika Ukanda wa Gaza imetangaza kuwa, idadi ya Mashahidi imeongezeka hadi 40,173 na idadi ya waliojeruhiwa imeongezeka hadi 92,857 tangu Oktoba 7. Ghala hili la picha zilizopigwa na mpiga picha wa 'Associated Press' Fatimah Shabeer wakati wa vita vya Gaza zinaonyesha Wapalestina wakiomboleza wapendwa wao.
20 Agosti 2024 - 19:53
Msimbo wa Habari: 1479628